Mwanzo 43:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200234 Chakula kilikuwa kikitwaliwa kutoka kwenye meza ya Yosefu na kupelekwa kwao, lakini Benjamina alipewa mara tano zaidi ya kipimo wandugu zake walichopewa. Basi, wakakunywa na kufurahi pamoja naye. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |