Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 4:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

25 Adamu akalala tena na Eva muke wake, naye akazaa mutoto mwanaume, akamwita Seti akisema: “Mungu amenijalia mutoto pahali pa Abeli aliyeuawa na Kaina.”

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 4:25
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kisha Kaina akasemezana na ndugu yake Abeli. Basi, walipokuwa katika shamba, Kaina akamushambulia ndugu yake Abeli, akamwua.


Wakati Seti alipokuwa na umri wa miaka mia moja na mitano, akazaa Enosi.


Hawa ndio babu wa kwanza waliofuatana kwa kila kizazi: Adamu Seti Enosi Kenani Mahalaleli Yaredi Hanoki Metusela Lameki Noa Wana wa Noa walikuwa: Semu, Hamu na Yafeti.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ