Mwanzo 38:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200226 Yuda akavitambua vitu hivyo, akasema: “Tamari ni mwenye haki kuliko mimi. Ni kweli, maana sikumwoesha kwa mwana wangu Sela.” Tokea siku hiyo Yuda hakulala tena na Tamari. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Nyuma, Daudi alifika katika nyumba yake kule Yerusalema. Mufalme aliwatwaa wahabara wake kumi ambao alikuwa amewaacha kwa kuangalia nyumba yake, akawaweka kwenye nyumba moja wapate kulindwa, akawatunza vizuri, lakini hakulala nao. Kwa hiyo wahabara hao wakakuwa wakifungwa mpaka siku za kufa kwao, wakaishi kama vile walikuwa wajane.