Mwanzo 38:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Halafu Yuda akamwambia Tamari, muke wa mwana wake: “Rudi kwa nyumba ya baba yako, ubaki mujane mpaka wakati mwana wangu Sela atakapokomaa.” Yuda hakutaka Sela naye akufe kama vile wandugu zake. Basi, Tamari akarudi kwa nyumba ya baba yake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |