Mwanzo 37:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Niliota kwamba sisi wote tulikuwa katika shamba tukifunga miganda. Kwa rafla muganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuinamia mbele ya muganda wangu.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |