Basi, Yakobo akainua macho, akamwona Esau akikuja pamoja na watu mia ine. Halafu, akawagawanya watoto wake kati ya Lea, Rakeli na wale wajakazi wawili.
Ndiyo maana makuhani wa Dagoni na wote wanaoingia kumwabudu Dagoni kule Asidodi, wanapoingia kwenye hekalu la Dagoni hawakanyagi kizingiti cha hekalu la Dagoni mpaka leo.