Mwanzo 31:52 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200252 Lundo hili na nguzo hii ni ushuhuda kwamba mimi sitaruka lundo hili kuja kwako kukuzuru, wala wewe hautavuka lundo hili na nguzo hii kuja kwangu kunizuru. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
lakini tulitaka mazabahu hii ikuwe ushuhuda kati yetu na ninyi na vizazi vyetu vinavyokuja kwamba sisi tuna haki ya kumutumikia Yawe kwa sadaka zetu za kuteketezwa kwa moto na sadaka zetu zingine, na kwa sadaka zetu za amani, kusudi watoto wenu wasipate kuwaambia watoto wetu kwamba hawana fungu lolote lao kwa Yawe.