Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 30:41 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

41 Ikakuwa kila mara ulipofika wakati wa nyama wenye afya kupata mimba, Yakobo aliweka zile fito mbele yao katika mabirika ya kukunyweshea maji, kusudi wapate mimba kwenye fito zile.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 30:41
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Akasimamisha fito zile alizomenya maganda mbele ya nyama katika mabirika ya kukunyweshea maji, pahali ambapo nyama walikuja kukunywa maji. Na kwa sababu nyama walipata mimba walipokuja kunywa maji,


Yakobo akatenga hao wana-kondoo, kisha akawaelekeza kwenye nyama wenye mistari na weusi katika kundi la Labani. Kwa njia hii, Yakobo akajipatia kundi lake mwenyewe, wala hakulichanganya na lile la Labani.


Lakini hakuweka fito zile mbele ya nyama zaifu walipopata mimba. Hivi, nyama zaifu wakakuwa wa Labani, na wenye afya wakakuwa wa Yakobo.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ