Mwanzo 30:40 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200240 Yakobo akatenga hao wana-kondoo, kisha akawaelekeza kwenye nyama wenye mistari na weusi katika kundi la Labani. Kwa njia hii, Yakobo akajipatia kundi lake mwenyewe, wala hakulichanganya na lile la Labani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |