Mwanzo 30:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200230 Mbele sijakuja ulikuwa na mali chache tu lakini tangu nifike, mali yako imeongezeka kwa wingi sana, na Yawe amekubariki kila fasi nilikokwenda. Lakini sasa, nitatunza wakati gani jamaa yangu mwenyewe?” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |