Mwanzo 3:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kisha Yawe akamwambia nyoka: “Kwa sababu umefanya hivyo, umelaaniwa kuliko nyama wote wa kufugwa, na kuliko nyama wote wa pori. Utatambaa kwa tumbo lako na kula mavumbi siku zote za maisha yako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |