5 Kumbe, Rebeka alikuwa anasikiliza wakati ule Isaka alipokuwa akiongea na Esau, mwana wake. Kwa hiyo, Esau alipokwenda katika pori kuwinda,
Halafu unitengenezee chakula kitamu, kile ninachopenda, uniletee nikule, nipate kukubariki mbele ya kufa kwangu.”
Rebeka akamwambia mwana wake Yakobo: “Nimemusikia baba yako akimwambia kaka yako Esau