Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 27:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Basi, twaa silaha zako, maana yake podo na upinde wako, uende katika pori uniwindie nyama.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 27:3
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Yawe, ndiyo maana kuna musemo unaosema: “Kama vile Nimurodi mwindaji shujaa mbele ya Yawe.”


Halafu unitengenezee chakula kitamu, kile ninachopenda, uniletee nikule, nipate kukubariki mbele ya kufa kwangu.”


Watu watakwenda kule kuwinda kwa pinde na mishale, maana inchi yote itakuwa imejaa michongoma na miiba.


Wamoja kati yenu wanasema: “Vitu vyote vinaruhusiwa kwangu.” Ndiyo, lakini vyote si vyenye kufaa kwenu. Ninaweza kusema kwamba vitu vyote vinaruhusiwa kwangu, lakini sitakubali kuwa mutumwa wa kitu chochote.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ