17 Kisha akamupa kile chakula kitamu na mukate aliokuwa ametayarisha.
Basi, Yakobo akakwenda kutwaa wana-mbuzi wawili na kuwaletea kwa mama yake. Naye akatayarisha chakula kitamu sawa vile baba yake Isaka alivyopenda.
Akafunika mikono yake na sehemu laini ya shingo yake kwa ngozi za wana-mbuzi.
Basi, Yakobo akaingia ndani kwa baba yake, akamwita: “Baba!” Naye akaitika: “Niko hapa! Ni nani wewe mwana wangu?”
Halafu unitengenezee chakula kitamu, kile ninachopenda, uniletee nikule, nipate kukubariki mbele ya kufa kwangu.”