Mwanzo 26:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Isaka akachimba vile visima vilivyokuwa vimechimbwa wakati Abrahamu baba yake alipokuwa muzima, visima ambavyo Wafilistini walikuwa wameziba nyuma ya kifo cha Abrahamu. Akavipa majina yaleyale baba yake aliyovipa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |