Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 25:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

4 Wana wa Midiani walikuwa Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Elda. Wote hao walikuwa wazao wa Ketura.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 25:4
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Yokisani alizaa Seba na Dedani. Wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletusi na Waleumi.


Abrahamu akamurizisha Isaka mali yake yote.


Hadadi na wenzake walisafiri kutoka Midiani, wakawakamata watu wengine kule Parani, wakaenda nao mpaka Misri, kwa mufalme wa Misri. Yeye akamupatia Hadadi nyumba, shamba, na chakula.


Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hawa walikuwa wana wa Ketura.


Makundi ya ngamia yataifunika inchi yako, wana wa ngamia kutoka Midiani na Efa; wote watakuja kutoka Seba. Watakuletea zahabu na ubani, wakitangaza sifa za Yawe.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ