Mwanzo 25:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Wazao wa Isimaeli walikaa katika eneo lililokuwa kati ya Havila na Shuri, upande wa mashariki wa Misri, kuelekea Ashuri. Walikaa kwa utengano na wazao wengine wa Abrahamu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |