Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 24:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

28 Kisha yule binti akakimbia kwenda kuwapa wandugu za mama yake habari.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 24:28
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Basi, Labani akatafuta sanamu hizo za miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuzipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia katika hema la Rakeli.


Basi, Isaka akamutwaa Rebeka ndani ya hema iliyokuwa ya mama yake Sara, naye akakuwa muke wake. Isaka akamupenda Rebeka na kupata kufarijika nyuma ya kifo cha mama yake.


Lakini wandugu na mama ya Rebeka wakasema: “Umwache binti akae nasi muda mufupi, kama siku kumi hivi; kisha anaweza kwenda.”


Kisha nikainama na kumwabudu Yawe. Nikamutukuza Yawe, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye ameniongoza moja kwa moja kwa binti wa ukoo wa bwana wangu kwa ajili ya mwana wake.


Akamujulisha Rakeli kwamba yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Rakeli akakimbia mbio kwa nyumba akamwarifu baba yake.


Rebeka alikuwa na kaka yake anayeitwa Labani. Labani akatoka mbio kukutana na yule mutu kwenye kisima.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ