Mwanzo 22:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Basi, kesho yake, Abrahamu akaamuka asubui mapema, akatandika punda wake, akawatwaa watumishi wake wawili pamoja na Isaka mwana wake. Akatayarisha kuni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa moto, kisha akaanza safari kuelekea pahali alipoambiwa na Mungu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |