Mwanzo 22:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Halafu Abrahamu akainua macho, akaona kondoo dume, amenaswa pembe zake katika kichaka. Basi, akakwenda, akamutwaa yule kondoo, akamutoa sadaka ya kuteketezwa kwa moto pahali pa mwana wake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |