Mwanzo 21:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Isaka alipotimiza umri wa siku nane, Abrahamu akamutahiri kama alivyoamuriwa na Mungu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Halafu Mungu akafanya agano na Abrahamu, na kitambulisho cha kuhakikisha kwamba limeshikwa kilikuwa kutahiriwa. Kwa hiyo Abrahamu akamutahiri mwana wake Isaka alipotimiza siku nane za kuzaliwa. Naye Isaka akamutahiri mwana wake Yakobo, na Yakobo akawatahiri wana wake kumi na wawili waliokuwa babu zetu wakubwa.