Mwanzo 21:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Kwa hiyo uniapie kwa jina la Mungu kwamba hautanidanganya mimi au watoto wangu au wazao wangu. Kadiri mimi nilivyokutendea mema, vivyo hivyo nawe unitendee mema mimi na inchi hii unamokaa.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |