19 Mungu akamufumbua Hagari macho, naye akaona kisima cha maji. Akakwenda akajaza chupa maji, akamukunywesha mutoto wake.
Ndiyo maana kile kisima kinaitwa “Kisima cha yule anayeishi na anayeniona”. Kisima hiki kipo kati ya Kadesi na Beredi.
Malaika wa Yawe akamukuta Hagari kwenye chemichemi ya maji katika jangwa, chemichemi iliyokuwa katika njia kuelekea Suri.
Hapo, Yawe akafungua macho ya Balamu, naye akamwona malaika wa Yawe amesimama katika njia, akishika upanga uliochomolewa toka kifuko chake. Balamu akajitupa uso mpaka chini.