Mwanzo 19:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200219 Ni kweli kwamba mimi mutumishi wako nimepata kukubaliwa mbele yako, nawe umenitendea mema sana kwa kuokoa maisha yangu. Lakini kwenye milima ni mbali sana. Maangamizi haya yatanikuta mbele sijafika kule, nami nitakufa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |