Mwanzo 18:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Alipoinua macho yake, akaona watu watatu wakisimama mbali kidogo mbele yake. Mara tu alipowaona, akakimbia kutoka kwenye mulango wa hema yake, akakwenda kuwapokea. Alipowafikia akainama kwa heshima အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |