Mwanzo 17:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Mutatahiriwa kwa kukata magovi yenu na hiki kitakuwa ndicho kitambulisho cha agano kati yangu nanyi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Halafu Mungu akafanya agano na Abrahamu, na kitambulisho cha kuhakikisha kwamba limeshikwa kilikuwa kutahiriwa. Kwa hiyo Abrahamu akamutahiri mwana wake Isaka alipotimiza siku nane za kuzaliwa. Naye Isaka akamutahiri mwana wake Yakobo, na Yakobo akawatahiri wana wake kumi na wawili waliokuwa babu zetu wakubwa.