Mwanzo 16:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Sarai akamwambia Abramu: “Lazima ya ubaya ninaotendewa ikuwe juu yako. Mimi nilikupa mujakazi wangu, lakini alipopata mimba, mimi nimekuwa kitu bure mbele ya macho yake! Yawe ahukumu kati yako na mimi!” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |