Mwanzo 16:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Basi, Sarai akamwambia Abramu: “Unajua kwamba Yawe hajanijalia kupata watoto. Umutwae Hagari mujakazi wangu. Labda nitapata watoto kutoka kwake.” Abramu akakubali shauri la Sarai. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |