Mwanzo 14:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Abramu alipopata habari kwamba mwipwa wake amekamatwa kuwa mufungwa, akatoka na watu wake mashujaa mia tatu na kumi na wanane waliozaliwa katika nyumba yake, akawafuatilia waadui mpaka Dani. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |