Mwanzo 13:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Angalia inchi hii yote mbele yako. Na tutengane. Ukikwenda kushoto, mimi nitakwenda kuume. Ukikwenda kuume, mimi nitakwenda kushoto.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Basi! Leo ninafungua minyororo toka mikono yako. Kama unaona ni vizuri kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi tuende pamoja; mimi nitakutunza vizuri. Lakini kama unaona si vizuri kwako kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi, usikuje. Ujue kwamba unaweza kwenda popote katika inchi hii. Basi kwenda kwenye unaona ni vizuri kwenda.