13 Nyuma ya kuzaa Sela, Aripakisadi aliishi miaka mia ine na mitatu, na kupata wana wengine na wabinti.
Aripakisadi alipokuwa na umri wa miaka makumi tatu na mitano, akazaa Sela.
Sela alipokuwa na umri wa miaka makumi tatu, alizaa Eberi.