12 Aripakisadi alipokuwa na umri wa miaka makumi tatu na mitano, akazaa Sela.
Aripakisadi alizaa Sela, Sela akazaa Eberi.
Nyuma ya kuzaa Aripakisadi, Semu aliishi miaka mia tano, na kupata wana wengine na wabinti.
Nyuma ya kuzaa Sela, Aripakisadi aliishi miaka mia ine na mitatu, na kupata wana wengine na wabinti.
Arpakisadi alikuwa baba ya Sela. Sela alikuwa baba ya Eberi.