Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 10:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

18 Waarwadi, Wazemari na Wahamati. Na nyuma watu wa jamaa mbalimbali za Kanana wakatawanyika,

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 10:18
14 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

hata eneo la inchi yao likakuwa toka Sidona kuelekea upande wa kusini, kuendelea Gerari mpaka Gaza, na kuelekea upande wa mashariki liliendelea kwa Sodoma na Gomora, Adima na Seboimu mpaka Lasa.


Wakati Toi, mufalme wa Hamati, aliposikia kwamba Daudi amewashinda waaskari wote wa Hadadezeri,


Kisha mufalme wa Asuria akapeleka watu kutoka Babeli, Kuta, Awa, Hamati na Sefarwaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria kwa pahali pa watu wa Israeli waliopelekwa katika uhamisho. Wakaitwaa miji hiyo na kukaa mule.


Watu wa Babeli walitengeneza sanamu za Sukoti-Benoti, watu wa Kuta wakatengeneza sanamu za Nergali, watu wa Hamati sanamu za Asima,


Mufalme Abiya akasimama juu ya mulima Zemaraimu, unaokuwa kati ya milima ya Efuraimu akamwambia Yeroboamu na Waisraeli: “Unisikilize, ewe Yeroboamu na Waisraeli wote!


Si kweli kwamba muji wa Kalno niliutendea kama vile wa Karkemisi, muji wa Hamati kama muji wa Arpadi, Samaria kama Damasiki?


Watu wa miji Sidona na Arwadi walikuwa wapiga makasia wako. Wenye hekima wako walikuwa ndani wakifanya kazi ya kuongoza.


vilevile muji wa Hamati unaopakana na Hadiraki, na hata miji ya Tiro na Sidona ingawa inajiona kuwa na hekima sana.


na kutoka mulima Hori, mpaka kwenye njia inayokwenda Hamati, na kuendelea mpaka Sedadi,


Miji yao iliyokuwa na kuta ni: Zidimu, Zeri, Hamati, Rakati, Kinereti, Adama, Rama, Hazori, Kedesi, Edirei, Eni-Hazori, Ironi, Migdali-Eli, Horemu, Beti-Anati na Beti-Semesi. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na tisa pamoja na vijiji vyake.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ