Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 10:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

14 Wapatirusi, Wakasiluhi (ambao ndio shina ya Wafilistini), na Wakafutorimu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 10:14
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wapatirusi Wakafutori na Wakasiluhi (hao ndio asili ya Wafilistini).


Siku hiyo, Bwana ataunyoosha mukono wake tena kuwarudisha watu wake waliobaki kule Asuria, Misri, Patirosi, Etiopia, Elamu, Sinari, Hamati na sehemu za visanga vya bahari.


Yawe akamutolea Yeremia ujumbe juu ya Wayuda waliokuwa wanakaa katika inchi ya Misri katika miji ya Migidoli, Tapanesi, Nofi na sehemu ya Patro:


Hiyo ni siku ya kuwaangamiza Wafilistini wote, kukomesha musaada uliobakia kutoka Tiro na Sidona. Maana Yawe anawaangamiza Wafilistini, watu waliobaki wa kisanga cha Kafutori.


Kwangu mimi, ninyi Waisraeli, muko sawasawa na watu wa Kushi! –Ni ujumbe wa Yawe.– Niliwatoa Wafilistini kutoka Krete, na Waaramu kutoka Kiri, kama nilivyowatoa ninyi kutoka Misri.


Waavi walikuwa zamani wakiishi katika vijiji vya kando ya Mediteranea mpaka Gaza. Wakafutori kutoka kisiwa cha Kafutori wakawaangamiza, wakaishi humo pahali pao.)


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ