Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mwanzo 1:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho wa Mungu alikuwa akitanda juu ya maji.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mwanzo 1:2
17 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Ikiwa haya ni machache tu ya matendo yake, ni minongono tu tunayosikia juu yake, nani anayeweza kujua ukubwa wa nguvu yake?


Mungu anatandaza kaskazini juu ya pahali patupu, na anatundika dunia pahali pasipo kuwa kitu.


Ni nani aliyefunika bahari kwa mawingu na kuiviringishia giza kubwa,


Ukiwapulizia pumzi yako, wanaumbwa; wewe unafanya vitu vipya katika dunia.


Uliifunika dunia kwa bahari kama nguo, na maji yakaimeza milima mirefu.


Alitengeneza inchi juu ya vilindi vya maji. Wema wake unadumu milele.


Mumusifu Yawe tokea katika dunia; enyi nyoka wakubwa wa bahari na mashimo ya bahari, mumusifu.


Mbingu ziliumbwa kwa neno la Yawe, na vyote vinavyokuwa ndani yake kwa pumzi ya kinywa chake.


Nilizaliwa mbele ya vilindi vya bahari, mbele ya chemichemi zinazobubujika maji.


Kama vile ndege anavyonyoosha mabawa juu ya vitoto vyake, ni vile Yawe atakavyolinda Yerusalema. Ataulinda na kuukomboa, ataukinga na kuuokoa.


Hivi ndivyo anavyosema Yawe aliyeumba mbingu, ndiye Mungu aliyeipa dunia umbo na kuifanya na kuiimarisha. Hakuiumba kusudi ibaki ukiwa, lakini aliipa umbo kusudi iikaliwe na viumbe vyake: Mimi ni Yawe, wala hakuna mwingine.


Niliangalia dunia, nikaona imekuwa ukiwa na tupu; niliangalia mbingu, nazo hazikukuwa na mwangaza.


Munyanganye feza, munyanganye zahabu! Mali yake haina mwisho! Kuna wingi wa kila kitu cha bei kali!


Yule Mungu aliyesema: “Mwangaza uangaze katika giza,” ndiye aliyeangaza ndani ya mioyo yetu, na kutuwezesha kufahamu utukufu wa Mungu unaongaa kwenye uso wa Kristo.


Alikuwa kama tai anayelinda chicha yake, anayeruka karibu ya vitoto vyake, akitandaza mabawa yake kwa kuwashikilia, na kuwabeba juu ya mabawa yake.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ