Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Muhubiri 5:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

15 Hili nalo ni jambo baya sana. Atarudi kama vile alivyokuja. Amepata faida gani? Ametoa jasho kwa kukamata upepo.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Muhubiri 5:15
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

akisema: Nilikuja uchi katika dunia, nitaondoka uchi katika dunia. Yawe amenipa, Yawe ametwaa. Jina la Yawe litukuzwe.


Mwenye hekima anajibu bila kufikiri na kujaa maneno ya burebure?


Usihangaike ukiona mutu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi.


Kama vile mwanadamu alivyokuja katika dunia akiwa uchi toka katika tumbo la mama yake, ndivyo atakavyorudi uchi kule alikotoka. Hataweza kupeleka hata sehemu ndogo ya mapato ya kazi yake.


Watu wa Efuraimu wanachunga upepo, muchana kutwa wanafukuza upepo wa mashariki. Wanazidisha uongo na mateso, wanafanya mapatano na Asuria na kupeleka mafuta Misri.


Lakini Mungu akamwambia: ‘Mupumbafu wewe! Leo leo usiku utakufa. Na sasa, vitu hivi vyote ulivyojitayarishia vitakuwa vya nani?’ ”


Kwa maana hatukuleta kitu katika dunia wala hatuwezi kurudia na kitu.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ