Mika 7:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Watatambaa katika mavumbi kama nyoka, kama viumbe vinavyotambaa. Watatoka katika makimbilio yao wakitetemeka na kujaa hofu. Watakugeukia Yawe, Mungu wetu, kwa hofu, wataogopa kwa sababu yako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |