Mika 7:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Halafu adui yangu ataona hayo naye atafunikwa na haya; maana aliniambia: Basi Yawe, Mungu wako, yuko wapi? Mimi mwenyewe nitamwona adui akianguka; atakanyagwakanyagwa chini kama matope katika njia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |