Mika 4:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Mungu atatoa hukumu kati ya mataifa mengi, atakata mashauri ya mataifa makubwa ya mbali. Nayo yatafua mapanga yao kuwa majembe, na mikuki yao kuwa visu vya kuvuna. Taifa halitapigana na taifa lingine, wala hayatafanya tena mazoezi ya vita. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |