Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Mezali 4:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

16 Waovu hawalali hata kidogo wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomukwaza mutu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Mezali 4:16
13 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Mwovu anajipendelea mwenyewe, anafikiri uovu wake hautagunduliwa na kulaaniwa.


Kila anachosema ni uovu na uongo; ameacha kutumia hekima na kutenda mema.


Maana wao wako mbio kutenda maovu, haraka zao zote ni za kumwanga damu.


watu wanaofurahia kutenda maovu na kupendezwa na upotovu wa maovu,


Epuka njia hiyo wala usiikaribie; ujiepushe nayo, uende zako.


Lakini waovu ni kama bahari iliyochafuka, ambayo haiwezi kutulia; maji yake yanatupa matope na takataka.


Kila mutu anadanganya jirani yake, hakuna hata mumoja anayesema ukweli. Wamezifundisha ndimi zao kusema uongo; anatenda uovu kwa kadiri ya kushindwa kabisa kunigeukia.


Ole wao wanaopanga kutenda maovu, wanaolala usiku wakikusudia mabaya! Mara tu kunapopambazuka, wanayatimiza maana wako na uwezo.


Wote ni wafundi wa kutenda maovu; waongozi na waamuzi wanaomba kituliro. Wakubwa wanaonyesha wazi nia zao mbaya, nao wanashirikiana pamoja kwa kuzitimiza.


Usiku ulipokucha, wazee wa Wayuda, wakubwa wa makuhani na walimu wa Sheria, wakakusanyika. Wakamuleta Yesu mbele ya Baraza yao Kubwa,


Na kulipokucha asubui mapema, wakamutosha Yesu kwa Kayafa na kumupeleka kwenye nyumba ya liwali. Lakini Wayuda wenyewe hawakuingia ndani ya nyumba ya liwali, kwa maana kwa njia ile wangejichafua na kutoweza kuwa tayari kula karamu ya Pasaka.


lakini jemadari Lusia alijitokeza na kumwondoa kati yetu kwa kinguvu.


Macho yao yanajaa uzinzi. Wao hawachoki kufanya zambi. Wanavuta watu wasiokamilika. Wanatawaliwa na tamaa za kupata mali. Watu hao wamelaaniwa!


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ