Mezali 30:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Ni nani aliyepanda juu mbinguni na kushuka chini? Ni nani aliyekamata upepo katika mukono? Ni nani aliyefunga maji katika kitambaa? Ni nani aliyeweka mipaka yote ya dunia? Jina lake ni nani? Na ni nani jina la mwana wake? Uniambie kama unajua! အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |