Mezali 12:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Mawazo ya mwenye haki ni ya haki; mashauri ya mwovu ni ya udanganyifu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Herode alipoona kwamba wale watu wenye elimu wamemudanganya, akakasirika sana. Akatuma watu Betelehemu na popote kandokando yake kwa kuua watoto wote waliokuwa na umri wa miaka miwili na chini yake. Alifanya vile kufuatana na jinsi alivyohakikishwa na wale wenye elimu juu ya wakati nyota ilipotokea.