Hivyo, siku zinazokuja, uaminifu wangu utaonekana waziwazi utakapokuja kuangalia mushahara wangu. Mbuzi yeyote asiyekuwa na madoadoa au matakamataka, au kondoo yeyote asiyekuwa mweusi akionekana katika kundi langu, yule atakuwa ameibiwa.”
Umepata kitu gani kinachokuwa chako hata kupekua mizigo yangu yote? Ukiweke mbele ya wandugu zangu na wandugu zako, kusudi wao waamue kati yetu sisi wawili!
Halafu Waisraeli wakageuka kwa kupigana, na watu wa kabila la Benjamina wakashikwa na woga maana sasa waliona kwamba kuangamia kwao kulikuwa kumekaribia.