Matayo 8:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Na Yesu akawaambia: “Mwende!” Basi wakatoka ndani ya wale watu na kuingia ndani ya nguruwe. Mara moja kundi zima likatelemuka mbio toka kwenye maporomoko ya mulima na kujitupa ndani ya ziwa nao wakazama ndani ya maji. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |