Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Matayo 6:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

17 Lakini wewe unapofunga kula chakula, unawe uso wako na kuchanua nywele zako,

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Matayo 6:17
5 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kisha, Daudi akasimama, akaoga, akajipakaa mafuta na kubadilisha nguo zake. Halafu akaenda katika nyumba ya Yawe na kuabudu. Kisha akarudi kwake, akaamuru wamuletee chakula, naye akakula.


Kwa hiyo alituma watu kule Tekoa kusudi wamutafutie mwanamuke mwenye hekima. Walipomuleta, akamwambia: “Ujifanye sawa vile mwenye kuwa na kilio. Vaa nguo za kilio, usijipakae mafuta, lakini ujifanye kama mwanamuke ambaye amekuwa katika kilio kwa muda murefu.


Vaa vizuri, ujipakae mafuta kwenye kichwa.


Kwa hiyo, nawa, ujipake mafuta na kuvaa vizuri, kisha uende kule katika kiwanja pahali anapopepetea. Lakini angalia usijionyeshe kwake mpaka atakapomaliza kula na kunywa.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ