Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Matayo 28:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Yeye aliangaa kama umeme na nguo yake ilikuwa nyeupe sana.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Matayo 28:3
14 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Unaufanya upepo kuwa mujumbe wako, moto na ndimi zake kuwa watumishi wako.


Nilipokuwa nikiendelea kuangalia, nikaona viti vya kifalme viliwekwa hapo, kisha Muzee mumoja wa zamani sana akakuja, akaikaa. Alikuwa amevaa nguo nyeupe kama teluji; nywele zake zilikuwa kama sufu safi. Kiti chake cha kifalme kilikuwa ndimi za moto, na magurudumu ya kiti kile yalikuwa moto unaowaka.


Na kule sura ya Yesu ikageuka wazi mbele yao. Uso wake ukangaa kama jua, nazo nguo zake zikametameta kama mwangaza.


Halafu wale walinzi wa kaburi wakaogopa sana na kutetemeka, hata wakakuwa kama wamekufa.


Basi wakaingia ndani ya kaburi, na mule wakaona kijana mumoja akiikaa upande wa kuume, akivaa kanzu nyeupe. Nao wakashituka.


Nguo zake zikageuka nyeupe sana na kumetameta, wala katika dunia hakuna fundi wa kufua anayeweza kuziangarisha kama vile.


akaona wamalaika wawili wanaovaa nguo nyeupe wakiikaa pahali maiti ya Yesu ilipowekwa. Mumoja alikuwa kwa upande wa kichwa na mwingine upande wa miguu.


Walipokuwa wangali wakiangalia mbinguni wakati Yesu alipopanda, kwa rafla kukaonekana watu wawili wanaovaa nguo nyeupe, wakasimama karibu nao.


Kisha nikaona malaika mwingine mwenye uwezo akishuka toka mbinguni. Alikuwa akifunikwa na wingu, naye alikuwa na upindi wa mvua juu ya kichwa chake. Uso wake ulingaa kama jua na miguu yake ilimetameta kama nguzo ya ndimi za moto.


Kisha mambo hayo, nikaona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni. Yeye alikuwa na uwezo mukubwa; na dunia yote ilingaa kwa utukufu wake.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ