Matayo 26:42 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200242 Akawaacha tena kwa mara ya pili, akaomba akisema: “Ee Baba yangu, kama kikombe hiki cha mateso hakiwezi kupita mbali nami, bila mimi kukikunywa, basi mapenzi yako yafanyike!” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |