1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo yote, akawaambia wanafunzi wake:
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo akaondoka Galilaya. Akaenda katika jimbo la Yudea na kuvuka ngambo ya Yordani.
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, makundi ya watu wakashangaa sana kwa kuona namna alivyowafundisha;
Sikukuu ya Wayuda ya Pasaka ilikuwa karibu. Basi watu wengi toka katika vijiji wakaenda Yerusalema kusudi wajitakase mbele ya Pasaka.