Matayo 2:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Lakini aliposikia kwamba Arkelao alitawala katika jimbo la Yudea kwa pahali pa baba yake Herode, Yosefu akaogopa kwenda kule. Na alipokwisha kuonywa katika ndoto, akaenda katika jimbo la Galilaya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |