Matayo 18:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Na kama jicho lako likikukosesha, uliongoe na kulitupa mbali! Ni heri kwako kuingia pahali utakapopata uzima wa kweli ukikuwa na jicho moja kuliko kuwa na macho mawili na kutupwa katika moto wa jehenamu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |